Cyber Swahili

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2026 - FORM FIVE SELECTION 2026-2027 na VYUO

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2026 - FORM FIVE SELECTION 2026-2027 na VYUO

Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 

TAMISEMI imetangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2026-27 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027 leo tarehe 1 June, 2026. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati 2026." pamoja na Shule Walizopangiwa form five 2026 Mikoa Yote hii hapa na fomu za kujiunga.

Tangazo hili ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaohamia kutoka elimu ya Sekondari ya Awali (O-Level) kwenda Sekondari ya Juu (A-Level) hapa nchini Tanzania. Hii ni ishara ya juhudi za wanafunzi pamoja na dhamira ya serikali kuendeleza ubora wa elimu.

Wanafunzi wanahimizwa kuangalia majina yao mapema na kujiandaa kwa safari mpya ya kitaaluma. Hongera kwa wote waliopata nafasi ya kuendelea na masomo yao!

Angalia hapa selection za kidato cha tano 2026.

Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2026

Orodha ya waliochaguliwa kwenda shule moja

Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2026

Fomu za kujiunga na kidato cha tano 2026

Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2026

Alex Rweyemamu

As the Founder of CyberSwahili, I design and lead initiatives that make digital safety and AI literacy practical, human-centered, and culturally relevant. My work focuses on helping learners, educators, families, and institutions build the confidence and critical understanding needed to navigate an increasingly algorithm-driven world.

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال