🚀 LINKEDIN LEVEL-UP: THE MASTERCLASS
Branding | Optimization | Content Strategy
"Jenga Profile inayokufanya upewe thamani unayostahili."
LinkedIn yako siyo tu mahali pa kuweka CV; ni mali yako ya kidigitali (Digital Asset). CyberSwahili na LinkedIn Local Tanzania tumeungana kukupa darasa la kiufundi ( Practical ) la siku mbili.
🛠️ THE 2-DAY PRACTICAL ROADMAP
Hatuishii kwenye nadharia. Tunafanya kazi pamoja hatua kwa hatua:
DAY 1: THE DIGITAL FOUNDATION & SEO
- The SEO Power Headline: Turekebisha Headline yako ili uonekane namba moja (Rank #1).
- The "Magnetic" About Section: Jinsi ya kuandika maelezo yako kwa (Storytelling) inayomvutia msomaji.
- Professional Visuals: Kutumia AI tools kutengeneza picha (Headshots) na mabango (Banners).
- Keywords Optimization: Kupangilia ujuzi (Skills) na uzoefu ili LinkedIn ukupendekeze.
DAY 2: CONTENT & LIVE AUDIT
- The AI Content Factory: Siri ya kutengeneza posts za mwezi chini ya dakika 60.
- Strategic Networking: Mbinu za kuwasiliana kwenye "Inboxes" na Wakurugenzi (CEOs) na Ma-HR.
- LinkedIn Analytics: Jinsi ya kusoma takwimu zako ili kujua nani anakuangalia.
- LIVE PROFILE AUDIT: Tunakagua profiles za washiriki "Live" na kurekebisha makosa papo hapo.
🎯 HII NI MAALUM KWA:
- Entry Level (Wahitimu): Unataka kuanza career yako ukiwa hatua za mbele ya zaidi.
- Mid Professionals (Waajiriwa): Unataka kuonekana (Visibility) ili upate promotion au fursa za nje ya nchi.
- Executive Level (Viongozi): Unataka kujenga Personal Brand imara itakayoongeza thamani ya taasisi yako.
📅 INVESTMENT
Tarehe: Jumamosi, May 9 – Jumapili, May 10, 2026.
Malipo: MPESA Lipa Namba: 56328651 (Alex Rweyemamu)
✅ HATUA RAHISI ZA KUJIUNGA:
1. Lipa Ada: Tuma 60,000/= kwenda Mpesa Lipa Namba: 56328651.
2. Jaza Fomu: Weka taarifa zako hapa chini kwa usahihi.
3. Thibitisha: Tuma picha ya muamala WhatsApp kwenda 0753969379.
"Baada ya kuthibitisha, utapewa 'LinkedIn Prep-Kit' maalum ya kuanza kuandaa profile yako kabla ya darasa kuanza."
📍 MAHALI NA UTARATIBU
Platform: Darasa litaendeshwa mubashara kupitia Google Meet.
Ratiba: Timetable ya masaa zitatumwa rasmi kwa barua pepe na WhatsApp.
Meet Your Lead Coach: Alex Rweyemamu
Partnered with LinkedIn Local Tanzania.
[ JAZA FOMU HAPA CHINI KUANZA ]
