Shule za Sekondrai za Advance Mkoa wa Mtwara

Shule za Sekondrai za Advance Mkoa wa Mtwara

Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania kwa elimu ya sekondari, hususan kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita (Advanced Level). Shule za Advance (Form 5 & 6) katika mkoa huu zinatoa mchanganyiko wa tahasusi mbalimbali kwa wanafunzi wa kiume na wa kike, zikiwa na lengo la kuwaandaa kwa masomo ya juu na fursa za ajira.

Katika makala hii, tutazungumzia shule za sekondari za Advance katika mkoa wa Mtwara, ikiwa ni pamoja na wilaya, majina ya shule, namba za usajili, jinsia ya wanafunzi wanaosoma, na mchanganyiko wa masomo (combinations) yanayotolewa.

1. MPETA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.5936 S6158
  • Jinsia: Mchanganyiko (Coed)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGL, HGK

2. CHIDYA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.5 S0105
  • Jinsia: Wavulana (WAV)
  • Mchanganyiko wa Masomo: PCM, PCB, CBG, HGK, HGL

3. CHIUNGUTWA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.1108 S1338
  • Jinsia: Mchanganyiko (Co-ED)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGL, HKL

4. NDANDA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.25 S0338
  • Jinsia: Wavulana (WAV)
  • Mchanganyiko wa Masomo: PCM, PGM, EGM, PCB, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL

5. NDWIKA GIRLS’ SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.602 S0530
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: CBG, HGL, HKL

6. MASASI GIRLS’ SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.70 S0213
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: PGM, PCB, CBG, HGK, HGL, HKL

7. MUSTAFA SABODO SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.3927 S3981
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HKL

8. MTWARA GIRLS’ SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.57 S0215
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: EGM, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL

9. MTWARA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.128 S0139
  • Jinsia: Mchanganyiko (Co-ED)
  • Mchanganyiko wa Masomo: PCM, PCB, CBG

10. DINYECHA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.5455 S6208
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGK

11. MANGAKA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.638 S0792
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: CBG, HKL

12. MNYAMBE SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.571 S0746
  • Jinsia: Wavulana (WAV)
  • Mchanganyiko wa Masomo: PCB, CBG, HGK, HKL

13. KIUTA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.1221 S1411
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGK, HGL, HKL

14. NANGWANDA GIRLS’ SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.640 S0831
  • Jinsia: Wasichana (WAS)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGK, HGL, HKL

15. TANDAHIMBA SECONDARY SCHOOL

  • Usajili: S.465 S0677
  • Jinsia: Wavulana (WAV)
  • Mchanganyiko wa Masomo: HGK, HGL

Hitimisho

Mtwara ni moja ya mikoa yenye shule nzuri za sekondari za kidato cha tano na sita. Kupitia shule hizi, wanafunzi wanapata fursa ya kusoma masomo mbalimbali yanayowaandaa kwa maisha ya baadaye. 

Ni muhimu kwa wazazi, walimu, na wanafunzi wenyewe kuhakikisha wanachagua shule sahihi kulingana na masomo wanayopendelea.

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال